Albatrosi Spishi za Afrika | Spishi za mabara mengine | Picha | Urambazaji
Walinzi na jamaa
Kiing.albatrossndegefamiliaDiomedeidaespishiAlbatrosi Mlizingisisamakigegerekavisiwayai
Albatrosi
Jump to navigation
Jump to search
Albatrosi | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Albatrosi utosi-mweupe | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||
Jenasi 4:
|
Albatrosi (kutoka Kiing.: albatross) ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. Baina ya spishi hizi yuko ndege wenye mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi Mlizi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe na mabawa kijivu hafifu hadi mwili wote kijivucheusi. Wana domo kubwa sana lenye ncha kwa umbo la kulabu. Mirija miwili ya pua inapitia pande zote mbili za domo.
Ndege hawa huenda mbali sana wakiruka angani na wanaweza kuzunguka dunia. Hawapigi mabawa sana baada ya kuruka, lakini wananyiririka kwa mabawa yaliyonyooshwa. Huwakamata ngisi, samaki na gegereka na hula mizoga pia. Kwa kawaida albatrosi huyatengeneza matago yao kwenye visiwa vya mbali visipokaa watu wala mamalia wengine. Kabla ya kujamiiana dume na jike hutenga dansi ya kanuni kaida. Jike hulitaga yai moja tu.
Spishi za Afrika |
Diomedea amsterdamensis, Albatrosi wa Kisiwa Amsterdam (Amsterdam Albatross)
Diomedea dabbenena, Albatrosi wa Tristan (Tristan Albatross)
Diomedea epomophora, Albatrosi Mfalme (Southern Royal Albatross)
Diomedea exulans, Albatrosi Mlizi (Wandering Albatross)
Phoebetria fusca, Albatrosi Kijivucheusi (Sooty Albatros)
Phoebetria palpebrata, Albatrosi Mgongo-kijivu (Light-mantled Albatros)
Thalassarche bulleri, Albatrosi wa Buller (Buller's Albatross)
Thalassarche carteri, Albatrosi Domo-njano wa Bahari ya Hindi (Indian Yellow-nosed Albatross)
Thalassarche cauta, Albatrosi Utosi-mweupe (Shy Albatross)
Thalassarche chlororhynchos, Albatrosi Domo-njano wa Bahari ya Atlantiki (Atlantic Yellow-nosed Albatross)
Thalassarche chrysostoma, Albatrosi Kichwa-kijivu (Grey-headed Albatross)
Thalassarche melanophris, Albatrosi Nyusi-nyeusi (Black-browed Albatross)
Thalassarche salvini, Albatrosi wa Salvin (Salvin's Albatross)
Spishi za mabara mengine |
Diomedea antipodensis (Antipodean Albatross)
Diomedea sanfordi (Northern Royal Albatross)
Phoebastria albatrus (Short-tailed Albatross)
Phoebastria immutabilis (Laysan Albatross)
Phoebastria irrorata (Waved Albatross)
Phoebastria nigripes (Black-footed Albatross)
Thalassarche eremita (Chatham Albatross)
Thalassarche impavida (Campbell Albatross)
Picha |

Albatrosi wa Kisiwa cha Amsterdam

Albatrosi wa Tristan

Albatrosi mfalme

Albatrosi mlizi

Albatrosi kijivucheusi

Albatrosi mgongo-kijivu

Albatrosi wa Buller

Albatrosi domo-njano wa Bahari ya Hindi

Albatrosi utosi-mweupe

Albatrosi domo-njano wa Bahari ya Atlantiki

Albatrosi kichwa-kijivu

Albatrosi nyusi-nyeusi

Albatrosi wa Salvin

Antipodean (Gibson's) albatros

Northern royal albatros

Short-tailed albatross

Laysan albatross

Waved albatross

Black-footed albatross

Chatham albatross

Campbell albatross
Jamii:
- Walinzi na jamaa
(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.120","walltime":"0.195","ppvisitednodes":"value":294,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":3295,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":1270,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":6,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":17666,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 16.088 1 Kigezo:Uainishaji","100.00% 16.088 1 -total"," 42.94% 6.908 1 Kigezo:Taxobox_colour"," 14.97% 2.408 1 Kigezo:Taxobox/Error_colour"],"cachereport":"origin":"mw1272","timestamp":"20190409093513","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":124,"wgHostname":"mw1326"););